Mwanzo 32:30
Mwanzo 32:30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yakobo akapaita mahali pale, Penueli, maana alisema, Nimeonana na Mungu uso kwa uso, na nafsi yangu imeokoka.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32Mwanzo 32:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Yakobo akapaita mahali hapo Penueli, akisema, “Nimemwona Mungu uso kwa uso, nami sikufa.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 32