Mwanzo 32:32
Mwanzo 32:32 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndiyo maana mpaka leo Waisraeli hawali msuli wa nyonga, kwa maana yule mtu alimgusa Yakobo panapo nyonga katika msuli wa kiuno chake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32Mwanzo 32:32 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa hiyo wana wa Israeli hawali ule mshipa ulio katika uvungu wa paja hata leo; maana alimgusa Yakobo panapo uvungu wa paja katika mshipa wa kiuno.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32