Mwanzo 32:9
Mwanzo 32:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yakobo akasema, Ee Mungu wa baba yangu Ibrahimu, na Mungu wa baba yangu Isaka, BWANA, uliyeniambia, Rudi uende mpaka nchi yako, na kwa jamaa zako, nami nitakutendea mema
Shirikisha
Soma Mwanzo 32Mwanzo 32:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo Yakobo akaomba, “Ee Mungu wa baba yangu Abrahamu, Mungu wa baba yangu Isaki, Ee BWANA, ambaye uliniambia, ‘Rudi katika nchi yako na jamaa yako, nami nitakufanya ustawi,’
Shirikisha
Soma Mwanzo 32