Mwanzo 33:4
Mwanzo 33:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini Esau akamkimbilia Yakobo kumlaki na kumkumbatia, akamwangukia shingoni na kumbusu. Nao wakalia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 33Mwanzo 33:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Esau akaenda mbio kumlaki Yakobo, akamkumbatia na kumbusu shingoni, na wote wawili wakalia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 33