Mwanzo 34:25
Mwanzo 34:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa siku ya tatu, walipokuwa wakiumwa sana, wana wawili wa Yakobo, Simeoni na Lawi, nduguze Dina, wakatwaa kila mtu upanga wake, wakaujia mji kwa ujasiri, wakawaua wanaume wote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 34Mwanzo 34:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa siku ya tatu, walipokuwa wakiumwa sana, wana wawili wa Yakobo, Simeoni na Lawi, nduguze Dina, wakatwaa kila mtu upanga wake, wakaujia mji kwa ujasiri, wakawaua waume wote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 34