Mwanzo 35:10
Mwanzo 35:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu alimwambia, “Jina lako ni Yakobo, lakini hutaitwa hivyo tena, bali sasa jina lako litakuwa Israeli.” Kwa hiyo Yakobo akaitwa Israeli.
Shirikisha
Soma Mwanzo 35Mwanzo 35:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mungu akamwambia, “Jina lako ni Yakobo, lakini hutaitwa tena Yakobo, jina lako utakuwa Israeli.” Kwa hiyo akamwita Israeli.
Shirikisha
Soma Mwanzo 35