Mwanzo 35:18
Mwanzo 35:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Raheli huku akikata roho, akampa huyo mtoto jina Ben-oni. Lakini baba yake akamwita mtoto huyo Benyamini.
Shirikisha
Soma Mwanzo 35Mwanzo 35:18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hapo alipopumua pumzi yake ya mwisho, kwa maana alikuwa akifa, akamwita mwanawe Benoni. Lakini babaye akamwita Benyamini.
Shirikisha
Soma Mwanzo 35