Mwanzo 35:2
Mwanzo 35:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hivyo Yakobo akawaambia watu wa nyumbani mwake pamoja na wote waliokuwa naye, “Iondoeni miungu ya kigeni ile iliyoko katikati yenu, jitakaseni na mkabadilishe nguo zenu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 35Mwanzo 35:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yakobo akawaambia jamaa yake na wote aliokuwa nao, “Tupilieni mbali sanamu za miungu ya kigeni mlizo nazo, mjitakase na kubadili mavazi yenu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 35