Mwanzo 37:18
Mwanzo 37:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu zake walipomwona akiwa mbali na kabla hajafika karibu, wakafanya mpango wa kumuua.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndugu zake walipomwona akiwa mbali, kabla hajawafikia, wakapanga shauri baya la kumuua.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37