Mwanzo 37:20
Mwanzo 37:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Haya, tumuue na kumtupa ndani ya shimo mojawapo. Baadaye tutasema kwamba ameuawa na mnyama wa porini. Halafu tutaona hizo ndoto zake zitakuwaje.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Njooni sasa, tumuue na kumtupa katika shimo mojawapo na tuseme kwamba mnyama mkali amemrarua. Kisha tutaona matokeo ya ndoto zake.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 37