Mwanzo 37:22
Mwanzo 37:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Msimwage damu. Ila mtumbukizeni katika shimo hili hapa mbugani, lakini msimdhuru.” Alisema hivyo kusudi aweze kumwokoa Yosefu mikononi mwao, na baadaye amrudishe kwa baba yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:22 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Tusimwage damu yoyote. Mtupeni katika shimo lililoko hapa jangwani, lakini msimguse.” Reubeni alisema hivyo ili amwokoe kutoka mikononi mwao, kisha amrudishe nyumbani kwa baba yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37