Mwanzo 37:28
Mwanzo 37:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Wafanyabiashara Wamidiani walipofika mahali hapo, hao ndugu wakamtoa Yosefu katika shimo, wakamwuza kwa Waishmaeli kwa bei ya vipande ishirini vya fedha; nao wakamchukua Yosefu hadi Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:28 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa hiyo wale wafanyabiashara Wamidiani walipofika pale, ndugu zake wakamtoa Yosefu kutoka kwenye lile shimo, na kumuuza kwa shekeli ishirini za fedha kwa wale Waishmaeli, ambao walimpeleka Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37