Mwanzo 37:3
Mwanzo 37:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Israeli alimpenda Yosefu kuliko watoto wake wote kwa sababu alikuwa amezaliwa wakati wa uzee wake. Alimshonea Yosefu kanzu ndefu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Israeli akampenda Yusufu kuliko wanawe wote, maana ni mwana wa uzee wake, akamfanyia kanzu ndefu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37