Mwanzo 37:4
Mwanzo 37:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndugu zake wakaona ya kuwa baba yao anampenda kuliko ndugu zake wote, wakamchukia, wala hawakuweza kusema naye kwa amani.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndugu zake walipoona kwamba baba yao anampenda Yosefu kuliko yeyote mwingine miongoni mwao, walimchukia na hawakusema naye neno lolote jema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37