Mwanzo 37:6-7
Mwanzo 37:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliwaambia, “Sikilizeni ndoto niliyoota: Niliota kuwa sote tulikuwa shambani tukifunga miganda na ghafla mganda wangu ukainuka na kusimama wima. Miganda yenu ikakusanyika kuuzunguka na kuuinamia mganda wangu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akawaambia, Tafadhalini, sikieni ndoto hii niliyoiota. Tazama, sisi tulikuwa tukifunga miganda shambani, kumbe! Mganda wangu ukaondoka ukasimama, na tazama, miganda yenu ikazunguka ikainama mbele ya mganda wangu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:6-7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Mwanzo 37