Mwanzo 37:9
Mwanzo 37:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yosefu akaota ndoto nyingine, akawasimulia ndugu zake akisema, “Sikilizeni, nimeota ndoto nyingine; nimeona jua, mwezi na nyota kumi na moja vinaniinamia.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kisha akaota ndoto nyingine, akawaambia ndugu zake akisema, “Sikilizeni, nimeota ndoto nyingine, wakati huu jua, mwezi na nyota kumi na moja zilikuwa zinanisujudia.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 37