Mwanzo 38:10
Mwanzo 38:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa BWANA, basi akamwua yeye naye.
Shirikisha
Soma Mwanzo 38Mwanzo 38:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Alichofanya kilikuwa kiovu machoni pa BWANA, hivyo, pia BWANA akamuua Onani.
Shirikisha
Soma Mwanzo 38