Mwanzo 39:2
Mwanzo 39:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Yosefu, akamfanikisha sana. Yosefu akawa anakaa katika nyumba ya bwana wake, Mmisri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39Mwanzo 39:2 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA alikuwa pamoja na Yosefu, naye akastawi, Yosefu akaishi nyumbani kwa bwana wake Mmisri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39