Mwanzo 39:22
Mwanzo 39:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo mkuu wa gereza alimweka Yosefu awe mkuu wa wafungwa wote humo gerezani; kila kitu kilichofanyika humo kilifanywa kwa mamlaka yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39Mwanzo 39:22 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa hiyo msimamizi wa gereza akamweka Yosefu awe mkuu wa wafungwa pamoja na kusimamia yote ambayo yalitendeka mle gerezani.
Shirikisha
Soma Mwanzo 39