Mwanzo 4:15
Mwanzo 4:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamjibu, “Sivyo! Atakayekuua wewe Kaini atalipizwa mara saba.” Basi, Mwenyezi-Mungu akamtia Kaini alama ya tahadhari, ili yeyote atakayemwona asimuue.
Shirikisha
Soma Mwanzo 4Mwanzo 4:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo yeyote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.
Shirikisha
Soma Mwanzo 4