Mwanzo 4:26
Mwanzo 4:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Sethi naye alipata mtoto wa kiume, akamwita Enoshi. Hapo ndipo watu walipoanza kumwomba Mwenyezi-Mungu kwa jina lake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 4Mwanzo 4:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Sethi naye akazaa mwana; akamwita jina lake Enoshi. Hapo ndipo watu walipoanza kuliitia Jina la BWANA.
Shirikisha
Soma Mwanzo 4