Mwanzo 40:8
Mwanzo 40:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wakamjibu, “Sisi sote tuliota ndoto, lakini hapakuwa na mtu yeyote wa kuzifasiri.” Ndipo Yosefu akawaambia, “Je, kufasiri ndoto si kazi ya Mungu? Niambieni ndoto zenu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 40Mwanzo 40:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakamjibu, “Tuna huzuni kwa kuwa tumeota ndoto na hakuna awezaye kututafsiria ndoto zetu.” Yosefu akawaambia, “Je, kutafsiri ndoto si kazi ya Mungu? Basi, niambieni ndoto zenu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 40