Mwanzo 41:16
Mwanzo 41:16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yosefu akamjibu Farao, “Siwezi kuifasiri, lakini Mungu atampa Farao jibu analolihitaji.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 41Mwanzo 41:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Yosefu akamjibu Farao, “Sina uwezo huo; lakini Mungu atakupa jibu lifaalo.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 41