Mwanzo 41:52
Mwanzo 41:52 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwanawe wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Mungu amenipa watoto katika nchi ya mateso yangu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 41Mwanzo 41:52 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wa pili akamwita jina lake Efraimu, maana alisema, Mungu amenipa uzazi katika nchi ya mateso yangu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 41