Mwanzo 42:6
Mwanzo 42:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati huo Yosefu alikuwa ndiye mkuu huko Misri. Yeye ndiye aliyehusika na kuwauzia wananchi nafaka. Basi, kaka zake wakaja na kumwinamia Yosefu kwa heshima.
Shirikisha
Soma Mwanzo 42Mwanzo 42:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wakati huo Yosefu alikuwa mtawala wa nchi ya Misri, naye alikuwa ndiye aliwauzia watu wote nafaka. Kwa hiyo wakati ndugu zake Yosefu walipofika, wakamsujudia hadi nyuso zao zikagusa ardhi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 42