Mwanzo 43:23
Mwanzo 43:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Yule msimamizi akawajibu, “Msiwe na wasiwasi, wala msiogope. Bila shaka Mungu wenu, Mungu wa baba yenu, ndiye aliyewarudishieni fedha katika magunia yenu. Mimi nilipokea fedha yenu.” Kisha akawaletea Simeoni, ndugu yao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 43Mwanzo 43:23 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Akawaambia, “Vema, msiogope. Mungu wenu, Mungu wa baba yenu, amewapa ninyi hazina katika magunia yenu; mimi nilipokea fedha yenu.” Ndipo akawaletea Simeoni.
Shirikisha
Soma Mwanzo 43