Mwanzo 43:30
Mwanzo 43:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Ghafla, Yosefu akatoka mahali hapo, kwani machozi yalikuwa yanamlengalenga kwa shauku kubwa juu ya ndugu yake, akaingia chumbani mwake na kuangua kilio.
Shirikisha
Soma Mwanzo 43Mwanzo 43:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yusufu akafanya haraka, kwa sababu moyo wake ulimwonea shauku nduguye, akatafuta pa kulilia, akaingia chumbani mwake, akalilia humo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 43