Mwanzo 44:1
Mwanzo 44:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yosefu alimwagiza msimamizi wa nyumba yake akisema, “Yajaze magunia ya watu hawa nafaka kiasi watakachoweza kuchukua. Halafu, weka fedha ya kila mmoja wao mdomoni mwa gunia lake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 44Mwanzo 44:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwamuru yule msimamizi wa nyumba yake akisema, Jaza magunia ya watu hawa chakula kwa kadiri wawezavyo kuchukua, utie na fedha ya kila mtu kinywani mwa gunia lake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 44