Mwanzo 44:34
Mwanzo 44:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawezaje kumrudia baba yangu bila kijana huyu? Siwezi kustahimili kuyaona madhara yatakayompata baba yangu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 44Mwanzo 44:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana nitawezaje kumwendea baba yangu, na huyu kijana hayuko pamoja nami? Nisije nikayaona mabaya yatakayompata baba yangu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 44