Mwanzo 45:3
Mwanzo 45:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Yosefu akawaambia ndugu zake, “Mimi ni Yosefu. Je, baba yangu angali hai?” Lakini ndugu zake wakapigwa na bumbuazi mbele yake, hata wakashindwa kumjibu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45Mwanzo 45:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yosefu akawaambia ndugu zake, “Mimi ni Yosefu! Je, baba yangu angali hai bado?” Lakini ndugu zake hawakuweza kumjibu, kwa sababu walipatwa na hofu kuu mbele yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45