Mwanzo 45:4
Mwanzo 45:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Yosefu akawaambia ndugu zake, “Tafadhali, sogeeni karibu nami.” Walipomkaribia, akawaambia, “Mimi ndiye ndugu yenu Yosefu, mliyemwuza Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45Mwanzo 45:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo Yosefu akawaambia ndugu zake, “Sogeeni karibu nami.” Waliposogea, akasema, “Mimi ni ndugu yenu Yosefu, yule ambaye mlimuuza Misri!
Shirikisha
Soma Mwanzo 45