Mwanzo 45:5
Mwanzo 45:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini sasa msifadhaike wala kujilaumu kwa kuniuza. Mungu ndiye aliyenileta huku niwatangulie, ili niyaokoe maisha ya watu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45Mwanzo 45:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Sasa, msihuzunike wala msijichukie wenyewe kwa kuniuza huku, kwa sababu ilikuwa ni ili kuokoa maisha ya watu ndiyo sababu Mungu alinituma niwatangulie ninyi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45