Mwanzo 45:6
Mwanzo 45:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Huu ni mwaka wa pili tu wa njaa nchini, na bado kuna miaka mitano zaidi ambapo watu hawataweza kulima wala kuvuna mavuno.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45Mwanzo 45:6 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa miaka miwili sasa imekuwepo njaa katika nchi, pia kwa miaka mitano ijayo hapatakuwepo kulima wala kuvuna.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45