Mwanzo 45:7
Mwanzo 45:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu alinileta huku niwatangulie, ili kusalimisha maisha yenu mbaki hai nchini na kuwakomboa kwa ukombozi mkubwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45Mwanzo 45:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini Mungu alinitanguliza mbele yenu ili kuhifadhi mabaki kwa ajili yenu katika nchi, na kuokoa maisha yenu kwa wokovu mkuu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45