Mwanzo 45:8
Mwanzo 45:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, si nyinyi mlionileta huku, bali ni Mungu. Ndiye aliyenifanya kama baba kwa Farao, msimamizi wa nyumba yake yote na mtawala wa nchi yote ya Misri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45Mwanzo 45:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
“Kwa hiyo basi, si ninyi mlionileta huku, bali ni Mungu. Alinifanya kuwa baba kwa Farao, bwana wa watu wa nyumbani mwake wote, na mtawala wa Misri yote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 45