Mwanzo 46:3
Mwanzo 46:3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akasema, Mimi ni Mungu, Mungu wa baba yako, usiogope kushuka mpaka Misri; maana nitakufanya uwe taifa kubwa huko.
Shirikisha
Soma Mwanzo 46Mwanzo 46:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mungu akamwambia, “Mimi ndimi Mungu wa baba yako, usiogope kushuka Misri, kwa maana huko nitakufanya taifa kubwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 46