Mwanzo 46:30
Mwanzo 46:30 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Israeli akamwambia Yusufu, Na nife sasa, kwa kuwa nimekuona uso wako, ya kuwa ungali hai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 46Mwanzo 46:30 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Israeli akamwambia Yosefu, “Sasa niko tayari kufa, kwa kuwa nimejionea mwenyewe kwamba bado uko hai.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 46