Mwanzo 46:4
Mwanzo 46:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mimi nitashuka pamoja nawe mpaka Misri; nami nitakupandisha tena bila shaka; na Yusufu ataweka mkono wake juu ya macho yako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 46Mwanzo 46:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nitashuka Misri pamoja nawe, nami hakika nitakurudisha tena Kanaani. Mikono ya Yosefu mwenyewe ndiyo itakayofunga macho yako.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 46