Mwanzo 47:8 - Linganisha Matoleo Yote
Mwanzo 47:8 BHN (Biblia Habari Njema)
Farao akamwuliza Yakobo, “Umri wako ni miaka mingapi?”
Shirikisha
Mwanzo 47 BHNMwanzo 47:8 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Farao akamwuliza Yakobo, Je! Siku za miaka ya maisha yako ni ngapi?
Shirikisha
Mwanzo 47 SUVMwanzo 47:8 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Farao akamwuliza Yakobo, Je! Siku za kuishi kwako ni ngapi?
Shirikisha
Mwanzo 47 SRUV