Mwanzo 47:9
Mwanzo 47:9 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yakobo akamjibu Farao, Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni mia na thelathini; siku za miaka ya maisha yangu zimekuwa chache, tena za taabu, wala hazikufikilia siku za miaka ya maisha ya baba zangu katika siku za kusafiri kwao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 47Mwanzo 47:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Naye Yakobo akamwambia Farao, “Siku za miaka ya kusafiri kwangu ni miaka 130. Miaka yangu imekuwa michache na ya taabu, wala haikufikia miaka ya kusafiri ya baba zangu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 47