Mwanzo 49:10
Mwanzo 49:10 Biblia Habari Njema (BHN)
“Fimbo ya kifalme haitatoka kwa Yuda, wala bakora ya utawala miguuni pake, mpaka atakapofika yule ambaye ni yake; ambaye mataifa yatamtii.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49Mwanzo 49:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Fimbo ya enzi haitaondoka katika Yuda, Wala mfanya sheria kati ya miguu yake, Hata atakapokuja Yeye, mwenye milki, Ambaye mataifa watamtii.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49