Mwanzo 49:22-23
Mwanzo 49:22-23 Biblia Habari Njema (BHN)
“Yosefu ni kama mti uzaao, mti uzaao kando ya chemchemi, matawi yake hutanda ukutani. “Wapiga mishale walimshambulia vikali, wakamtupia mishale na kumsumbua sana.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49Mwanzo 49:22-23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yusufu ni mti mchanga wenye kuzaa, Mti mchanga wenye kuzaa karibu na chemchemi, Matawi yake yametanda ukutani. Wapiga mishale walimtenda machungu, Wakamlenga na kumbana sana
Shirikisha
Soma Mwanzo 49