Mwanzo 5:2
Mwanzo 5:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 5Mwanzo 5:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliwaumba mwanamume na mwanamke, kisha akawabariki na kuwapa jina “Binadamu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 5