Mwanzo 50:17
Mwanzo 50:17 Biblia Habari Njema (BHN)
‘Mwambieni Yosefu kwa niaba yangu: Tafadhali uwasamehe ndugu zako makosa yao mabaya na maovu yote waliyokutendea.’ Sasa basi, tafadhali usamehe uovu tuliokutendea sisi watumishi wa Mungu wa baba yako.” Yosefu alipopata ujumbe huu, alilia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 50Mwanzo 50:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwambieni Yusufu hivi, Naomba uwasamehe ndugu zako kosa lao na dhambi yao, maana walikutenda mabaya; sasa twakuomba utusamehe kosa la watumishi wa Mungu wa baba yako. Yusufu akalia waliposema naye.
Shirikisha
Soma Mwanzo 50