Mwanzo 50:21
Mwanzo 50:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Haya, msiogope. Mimi nitawapeni chakula pamoja na watoto wenu.” Basi akawafariji na kusema nao vizuri.
Shirikisha
Soma Mwanzo 50Mwanzo 50:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi sasa msiogope; mimi nitawalisha na watoto wenu. Akawafariji, na kusema nao vema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 50