Mwanzo 50:24
Mwanzo 50:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Baadaye Yosefu aliwaambia ndugu zake, “Mimi sasa ninakaribia kufa. Lakini Mungu hakika atawajia kuwasaidia. Atawatoa katika nchi hii na kuwapelekeni katika nchi aliyowaapia Abrahamu, Isaka na Yakobo.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 50Mwanzo 50:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yusufu akawaambia ndugu zake, Mimi ninakufa, lakini Mungu atawajia ninyi bila shaka, atawapandisha toka nchi hii, mpaka nchi aliyowaapia Abrahamu, na Isaka, na Yakobo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 50