Mwanzo 6:12
Mwanzo 6:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Naam, Mungu aliiangalia dunia, akaona kuwa imeharibika kabisa, kwa maana kila mtu alifuata njia yake mbovu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6Mwanzo 6:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akaiona dunia, na tazama, imeharibika; maana kila mtu duniani amepotoka.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6