Mwanzo 6:13
Mwanzo 6:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akamwambia Noa, “Nimeamua kuwaangamiza binadamu wote kwa sababu wameijaza dunia ukatili. Naam, nitawaangamiza kabisa pamoja na dunia!
Shirikisha
Soma Mwanzo 6Mwanzo 6:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akamwambia Nuhu, Mwisho wa kila kiumbe umefika mbele zangu; kwa sababu wameijaza dunia maovu, basi nitawaangamiza pamoja na dunia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6