Mwanzo 6:14
Mwanzo 6:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, jitengenezee safina kwa mbao za mpingo. Gawa vyumba ndani yake na ipake lami ndani na nje.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6Mwanzo 6:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jitengenezee safina ya mti wa mvinje; tengeneza vyumba ukaifunike kwa lami ndani na nje.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6