Mwanzo 6:7
Mwanzo 6:7 Biblia Habari Njema (BHN)
hivyo akasema, “Nitamfuta kabisa duniani binadamu niliyemuumba; nitafutilia mbali pia wanyama wa porini, viumbe vitambaavyo na ndege wa angani. Ninasikitika kwamba niliwaumba duniani.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 6Mwanzo 6:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi; mwanadamu na mnyama, na kitambaacho na ndege wa angani; kwa maana naghairi ya kwamba nimewaumba.
Shirikisha
Soma Mwanzo 6